Aggie

Call Directions Website

Aggie Mtumba grade 01

15/10/2026

Unasumbuliwa na wekundu usoni, alama za chunusi au rangi ya ngozi kutokuwa sawa? 🥹🫶🏽

Tunakuletea Anua Azelaic Acid 10% + Hyaluron Redness Soothing Serum 💚💧

✨ Faida zake kwenye ngozi:
💚 Husaidia kupunguza mwonekano wa alama zinazobaki baada ya chunusi.
💚 Husaidia kutuliza mwonekano wa wekundu wa ngozi.
💚 Husaidia kuboresha mwonekano wa ngozi yenye rangi isiyosawazika.
💚 Ina Hyaluronic Acid inayosaidia kuipa ngozi unyevunyevu.

Inafaa kwa watu wengi wenye ngozi inayopata chunusi au alama za chunusi😍

Bei 65000

Unajua kwa nini body butter ni muhimu kwenye body-care routine yako? 🤎Ngozi inapokosa moisture huwa inaweza kuwa kavu, r...
05/10/2026

Unajua kwa nini body butter ni muhimu kwenye body-care routine yako? 🤎

Ngozi inapokosa moisture huwa inaweza kuwa kavu, rough na kuonekana dull. Hapo ndipo body butter inapoingia! 🧴✨

🤍 EOS Cashmere Whipped Oil Butter – Vanilla Cashmere ni chaguo zuri kwa kuipa ngozi yako moisture na softness, huku ikisaidia kupunguza kupotea kwa unyevu kwenye ngozi na kuacha ngozi ikiwa smooth, soft na yenye healthy-looking glow.

✨ Texture ya whipped, creamy na easy to spread
✨ Inafaa kwa ngozi inayohitaji extra moisture
✨ Inafanya ngozi ijisikie soft na moisturized
✨ Vanilla Cashmere inaacha harufu tamu na luxurious 🤎

03/10/2026
✨UNATAKA GLOW YENYE AFYA?Jipatie Palmer’s Body Oils kwa kuongeza unyevunyevu, softness na healthy glow kwenye ngozi yako...
22/09/2026

✨UNATAKA GLOW YENYE AFYA?

Jipatie Palmer’s Body Oils kwa kuongeza unyevunyevu, softness na healthy glow kwenye ngozi yako ✨

🌸 Tahiti Vanilla – kwa moisture ya kina na harufu tamu ya vanilla 🤎
🥥 Brazilian Coco – kwa moisture pamoja na skin inayong’aa na kuhisi smooth ✨

💧 Zitumie baada ya kuoga, ukiwa na ngozi bado ina unyevunyevu kidogo, ili kusaidia kufungia moisture kwenye ngozi.

🤎 Glow. Moisture. Delicious scent.
Chagua yako leo!

35000

03/09/2026

TUMERIC SCRUB

🤎Hii ni scrub nzuri sana ya manjano inayong’arisha ngozi vizuri sana
🤎Inasaidia kuondoa dead skin cells na kufanya ngozi iwe nyororo na ya kuvutia
🤎Baada ya kutumia scrub hii ngozi inakua nyororo hata ukipaka lotion au cream itakupa matokeo mazuri sana kwasababu umeshaondoa uchafu wote kwa scrub
🤎Ina sukari pia inayosaidia kung’arisha ngozi
🤎Kama unapenda na kujali ngozi basi usikose scrub kwenye routine yako
🤎Ni kubwa sana unatumia muda mrefu

25000

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aggie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share