Idda Kabendera

Idda Kabendera Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Idda Kabendera, Clothing (Brand), Bantu Street, Mwanza.

Hongera ya kuongeza mwaka mwingine kipenzi, Mwenyezi Mungu aizi kukutunza mama Jadda wangu 🥰🥰🥰
23/05/2024

Hongera ya kuongeza mwaka mwingine kipenzi, Mwenyezi Mungu aizi kukutunza mama Jadda wangu 🥰🥰🥰

01/11/2023
Kabla ya miaka 30 nyuma sikujua k**a inaweza kutokea ukampenda binaadamu mwingine kuliko unavyojipenda wewe. Ndo Mungu a...
26/09/2023

Kabla ya miaka 30 nyuma sikujua k**a inaweza kutokea ukampenda binaadamu mwingine kuliko unavyojipenda wewe. Ndo Mungu akanikutanisha na huu muujiza, zawadi kubwa duniani. mwanagu umenifundisha kupenda, kujali, kuthamini. Nakushukuru sana kunichagua mimi kuwa mama yako🤗 Namshukuru sana Mungu kwa kunipa huu uhai na kukuona ukikua kuwa dada, mke, mama mwenye uchaji wa Mungu, najivunia kuwa mama ako mwanangu. Ila we kua tu unavoweza hata uwe na wajukuu to me you are still my lil baby 😁. Kale kale ka Siite kangu🥰🥰 Nakupenda mama angu, nakupenda sana. Nakuombea siku yako iwe ya furaha ukiwa umezungukwa na wanaokupenda mwanangu❤️❤️
Happy birthday sweetheart 🎂🎂

Happy birthday mpendwa wangu. Mwenyezi Mungu akuweke shostito, akupe umri mrefu uone hadi vitukuu na mibaraka teeeele, i...
09/09/2023

Happy birthday mpendwa wangu. Mwenyezi Mungu akuweke shostito, akupe umri mrefu uone hadi vitukuu na mibaraka teeeele, ishi tajiri wa roho. Nakupenda ❤️❤️❤️🤗🤗🤗🤗

      outfit      #0767455515
29/04/2022



outfit


#0767455515

Our Vee🤗    outfit      #0767455515
29/04/2022

Our Vee🤗

outfit


#0767455515

    outfit      #0767455515
29/04/2022


outfit


#0767455515

   #0767455515
29/04/2022


#0767455515

Kitenge handbag  #0767455515
29/04/2022

Kitenge handbag
#0767455515

Culture handbags karibu sana. #0767455515
29/04/2022

Culture handbags karibu sana.
#0767455515

Top :  Thanks
29/04/2022

Top :
Thanks

“Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see”
28/04/2022

“Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see”

Address

Bantu Street
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Idda Kabendera posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share