05/11/2025
ILE 29 October Nilipotaka Kutoka Walinizuia Wakilia kwa Uchungu Sanaaa!! Nafsi Ikanisuta, Niliwapia mm Hizo picha Na kuwaaga kwa Maneno Mazuri yenye Upendo, Wlinishtukia Wakaanza kulia Wakisema Baba Auendi Kurudi Tunakujua wwe sio MTU wa Kurudi Nyumaβπ½βοΈNdugu zangu Moyo wangu Unavuja Damu Nikiona Miili ya Ndugu zetu Ilivyotapakaa Ile Sikuβ€οΈβπ₯πMoyo Unalipuka mara1000 Ila Sawa Tu ππ½