Vicent Ignas Mapunda

Vicent Ignas Mapunda Entrepreneur

20/05/2025

Kutoka Dar es Salaam Uelekeo Nyanda za Juu Kusini
Trh : 20/05/2025
Loc : Changing

📍 Aljazira Restaurant

Abc Upper Class 949Efs 20:24

📍 Mikumi Center

New Force 242Ebk 20:17

Golden Deer 874Efx 20:20

Msigwa Express 207Eks 20:24

📍 Doma

Abc Upper Class 718Ehu 20:19

📍 Mangae 1

Katarama Lux 327Eke 20:19

📍 Lugono Chimbadawa

Sama Lux Coach 676Ejs 20:19

📍 Mzumbe

Golden Deer 712Dpk 20:38

📍 Mikese

New Force 451Ech 20:19

Nb:Kazi ni kufata wa mbele yako

14/05/2025

Je wajua nembo zinazobandikwa kwenye magari umaanisha nini?
• C180L - L inamaanisha "Long wheel base
• GTR - GT inamaanisha "Grand Tourer"
• 1.3T - T inamaanisha "Turbo"
• K3- K inamaanisha "Mechanical boost"
• 125i - i inamaanisha "Electronic injection
• 30FSI - FSI inamaanisha " Fuel Stratified Injection"
• 2.0TCI - TCI inamaanisha "Turbocharger intercooler technology"
• VVT,CVVT - inamaanisha Engine Variable Valve Timing Technology.
• CGI,GDI & CDI - inamaanisha "in-cylnder direct injection"
• VTEC - V inamaanisha Variable Valve technology
• AWD,4WD & 4×4 - inamaanisha "four wheel drive"
• VX V6 - VX inamaanisha "High Configuration"
• TXL - inamaanisha "Medium Configuration
• TX - inamaanisha "Low configuration"
Mchanganuo:
1. Long Wheel Base hii inamaanisha gari zenye upana mkubwa. Mfano urefu wa kutokea matairi ya mbele kuja nyuma unakua mkubwa, mfano rahisi gari zenye muundo wa Van k**a Alphard au baadhi ya gari luxury.
2. Grand tourer hizi ni gar luxury zilizotengenezwa kwa safari ndefu na zenye speed sana.
3. Turbo hizi ni gari zinazotumia nguvu ya ziada ya kufyonza upepo ili kuboost ufanisi wa injini.
4. Mechanical boost hizi ni gari zenye valve ambazo hufunga na kufunguka manually kuruhusu mzunguko wa upepo unaotakiwa kuboost pressure.
5. Electronic injection hizi ni gari zenye mfumo ambao umetengenezwa kwa matumizi mazuri ya mafuta na kupunguza hewa chafu ambayo hutolewa kupitia kwenye exhaust pipe.
6. Fuel Stratified Injection hizi ni gari ambazo mafuta huingizwa moja kwa moja kwenye chumba cha mwako(combustion chamber).
7. Turbocharger intercooler hizi ni gari zenye intercooler iliyo katikati ya injini na turbo ambayo hufanya kazi ya kupoza hewa inayoingizwa na kuhakikisha inaingia na temperature sahihi kwenye chumba cha mwako wa injini.
8. VVT hizi ni gari zenye valve ambazo hufunga na kufunguka ndani ya injini na hutumika kuongeza ufanisi wa gari, matumizi mazuri ya mafuta au kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa.

Katika historia ya utajiri wa dunia, ni vigumu kutaja mabilionea wakubwa bila kumtaja John D. Rockefeller.Alikuwa si tu ...
11/04/2025

Katika historia ya utajiri wa dunia, ni vigumu kutaja mabilionea wakubwa bila kumtaja John D. Rockefeller.

Alikuwa si tu mmoja wa matajiri wakubwa zaidi kuwahi kutokea, bali pia alikuwa na ndoto mbili kubwa maishani mwake.

Ya kwanza ni kuwa bilionea mkubwa zaidi duniani, jambo ambalo alitimiza kwa mafanikio makubwa.

Ya pili, alitamani kuishi miaka 100, lakini alifariki akiwa na miaka 97.

Licha ya utajiri wake mkubwa, Rockefeller hakutaka kuacha pesa tu k**a urithi. Alitaka kuacha fikra, hekima, na siri za maisha kwa kizazi chake.

Ndiyo maana aliandika kitabu maalum kwa ajili ya mwanaye, ambacho alikiandika kwa mtazamo wa baba anayempa mwanawe mwongozo wa maisha.

Kitabu hicho kilianza na maneno rahisi lakini yenye uzito mkubwa.

"Dear John…"

Hii haikuwa tu barua ya kawaida, bali ilikuwa ni hati ya busara, hekima na mafundisho ya kifamilia yaliyojengwa juu ya uzoefu wa mtu aliyepitia changamoto zote za maisha na kufanikiwa.

Katika moja ya sehemu muhimu za kitabu hicho, Rockefeller anamwambia mwanaye juu ya habari za kifo cha Mr. Benson, mmoja wa watu waliowahi kuwa wapinzani wake wa kweli kibiashara.

10 Business Mistakes to Avoid in 20251️⃣ Don't trust anyone to grow your business; rely on yourself. So be the driving f...
11/04/2025

10 Business Mistakes to Avoid in 2025

1️⃣ Don't trust anyone to grow your business; rely on yourself. So be the driving force behind your business instead of letting people work for you. Get involved, be hands-on with your own business. This will make you a leader, not just a boss.

2️⃣ You can be your own boss and still fail. It's true, you work for yourself, but you don't have the right to rest. You arrive before your employees and leave after them. It's your business. You're not a civil servant. You don't have the right to rest until your business is capable of generating consistent and frequent revenue. You can sleep soundly when your business is stable; money comes in even when you sleep.

3️⃣ Put your employees in the position of boss. Don't show them you're their superior; they already know that. I mean, don't mistreat them, don't tire them out, let them work at their own pace by establishing a system in your business that allows them to earn money every day outside of their salary. This way, they'll take care of your business.

4️⃣ When you open your business and it generates money, don't say it's my money, I'm going to eat it. No, no, pay your employees, manage expenses. If there's any leftovers, put them in the bank or reinvest them in the business. In fact, don't pay yourself. Your own business doesn't pay you, doesn't eat up the profits, reinvest in the business and give yourself a year, a time will come, for example, from 500,000 francs per month, you'll go to 5,000,000 francs, just an example, you can pay yourself now, you've been patient in putting the employees at ease and reinvesting in the business what you should be eating up. This is how we do business.

5️⃣ Become stingy, very stingy, super stingy. Give yourself two years, you don't drink, you don't party, you don't invite a girl, you don't pay for new clothes, you don't spend. You manage your basic necessities, the rest you withdraw. After two years, your stinginess will pay off, everything yo

31/03/2025

SIO HEKIMA!

1. Unamkuta mtu anakunywa Chai unamwuliza ha! Hujafunga? Hata akicheka,ila moyoni atasema huna hekima..

2. Unamkuta mtu anakula zake supu na chapati unasema "Aah na ubonge huo bado unakula supu juu tena,utapungua kweli?" Sio hekima!

3. Mtu anakunywa zake Pepsi, unaanza kumfundisha...ndugu hizi sukari tu hazina faida yoyote mwilini! HUNA HEKIMA!

4. Unamkuta mtu kasimama na mtu wa jinsia nyingine, unauliza "Ndo shemeji yetu huyu au ndio wifi yetu huyu eeh" Huna hekima! K**a sio muhimu kujua nyamaza au akiona iko haja akutambilishe atakutambulisha.

5. Unamtumia mtu ujumbe na haujitambulishi na unajua hana namba yako..

6. Kumwita mtu my,dear,sweat,honey, na unajua hamna mahusiano ya karibu na ni kijana mwezio wa jinsia tofauti..hizi hutengeneza nia na ushawishi wa kuanzisha safari ya mapenzi. Hii hata mwanamke kwa mwanamke wasiitane,inakaribisha roho ya usagaji dunia imeisha hii nawaambieni. Niliingia duka moja mdada akaniita karibu kipenzi...kila nikiuluza b8dhaa anamalizia na my dear huku akitabasamu...mhhh haiko sawa sana!

Lakini mwanangu mpenzi 👍 binti yangu mpenzi au dear daughter, dear daddy dear parents hazina shida.

7. Umeenda hospital kumtazama mgonjwa,unamtazama kisha unaanza kudondosha machozi au unamsikitikia...huna hekima, usirudie kwenda hospital k**a una machozi ya karibu na hujafundishwa kumhudumia mgonjwa. Mgonjwa akikuona anatakiwa ajione mzima na ameimarika sana.

8. Unapewa simu uangalie picha fulani,wewe unavuka mipaka na kuanza kuzurura kwenye gallery ya watu utadhani umeambiwa kuna picha yako ya utotoni.

9. Unampigia mtu simu hajapokea,unapiga mara ya pili hajapokea,unaamua kutumia simu ya mtu mwingine,sio hekima...atapokea lakini akikusikia ni wewe, moyoni atasema huyu jamaa amekosa hekima.

10. Mtu unapata zako lunch sehemu ya wazi,unakuta mtu anafungua form mbele yako k**a rb kumbe ni form ya mchango wa msikiti au kanisa anataka uchangie....sio hekima wengine hatupendi kuongea tunapokula.

Halafu,hiyo juhudi ya kuzunguka

31/03/2025

What do you think is the most valuable skill in life?

1- Instead of focusing on “I” during conversation- try changing it to “you”. Let the ego take a back seat.

2- If you can’t let go & continue to focus on what happened to you, then it’s still happening to you.

3- Your most important skill will always be your ability to get things done. It doesn’t matter how good your plans are if you don’t execute them.

4- Life becomes easier when you’re living authentically. You’ll no longer feel the exhaustion that comes with constantly.
changing your opinions, attituded , & personality to please others,
To avoid disappointments, take people for what they’re & not for what they could be.

5- Stop asking people questions you already know to get reassurance & feel better about yourself. Be confident with your talent,
Don’t try to change people around you. Just love them . Love is what changes people.

6- Have a work ethic like you’re broke. Live below your means.

7- Be grateful in abundance for every day received, as it’s not guaranteed. Life is for the living.

8- You’re freaking yourself over nothing, now is everything.

Just Chill.!!

Thanks for reading.

"Live Purposefully"

29/03/2025

MAKOSA AMBAYO WANAUME WAPUMBAVU HUYAFANYA 🚨

Baadhi ya wanaume hudhani wana hekima, lakini upumbavu wao ni mkubwa kuliko jenereta inayovuma saa nane usiku.
Wanatumia pesa kwa wanawake wa hovyo, wanadharau familia zao, na kuishi k**a "big boys" hadi maisha yanapowafundisha adabu.

Ikiwa unataka maisha yenye amani na mafanikio, epuka makosa haya 15 ya kijinga:

1. UNAWALISHA WAGENI, LAKINI FAMILIA YAKO INA KAA NANYE NJAA

Mke wako akiomba hela ya chakula, unasema "jitahidi na ulicho nacho."
Watoto wako wanahitaji viatu vipya, unawaambia "mambo ni magumu."

Lakini slay queen akikutumia meseji "Hey baby, ninasikia njaa ya pizza,"
tayari uko njiani kwenda Domino’s k**a dereva wa delivery.

🚨 HABARI KUBWA:
Familia yako inateseka, lakini unawalisha watu wanaokufuata kwa pesa zako tu.
Nani anahitaji maombi hapa?

2. UNAFURAHIA MAISHA NJE, LAKINI NYUMBANI NI UGA WA VITA

Kila wikendi uko nje, unakunywa, unacheza,
ukijiita "big man," huku mke wako yuko nyumbani
akifikiria jinsi ya kulipa kodi na kuwahudumia watoto.

🚨 UKWELI NI KWAMBA:
Siku moja utarudi nyumbani ukiwa fukara,
na mwanamke uliyempuuza ndiye pekee atakayesimama na wewe.
Lakini huenda ikawa umechelewa sana.

3. UNAMWEKEZA KIFEDHA KWA MKE WA MWENZAKO

Unadhani unamsaidia "babe" kukuza maisha yake kwa kumpa hela?
Yeye anasubiri mwanaume wa maana amuoe.

Unamlipia bili, unamnunulia nywele, kucha na data.
Lakini atakapokuwa tayari kuolewa, atamchagua mwanaume mwingine.

🚨 HONGERA MAPEMA:
Umemtayarishia mwanaume mwenzako mke.
Usisahau kuhudhuria harusi yake! 😂

4. UNADHANI MALAYA ANAKUPENDA – LAKINI ANAPENDA PESA YAKO

Anakuita "baby" kwa sababu unatoa pesa,
si kwa sababu anakujali kweli.

🚨 AMKA!
Siku ukiwa huna hela, atapotea haraka kuliko WiFi ya bure kwenye umati wa watu.
Oga, si wewe anayempenda – ni pesa zako!

5. WEWE NI BIG MAN NJE, LAKINI NYUMBANI UMELALA NJAA

Nje, wewe ni mwenyekiti.
Ndani, wewe ni maskini.

Marafiki zako wanakuona ukinywa whisky ya bei ghali,
lakini watoto wako wanakunywa uji wa mahi

21/03/2025
16/03/2025

Masomo 9 Muhimu Niliyowahi Kujifunza Kwa Vitendo Kwenye Maisha Yangu:

1. Watu wengi huwa wanachukulia poa kujitoa kwetu kwao, huwa hawajui kuwa tunajinyima Ila kuwafanya wao wafurahie maisha.

Huwa wanafikiri tunawapa kwa sababu tuna vingi, kumbe tunajinyima ili tuwape wao kwa sababu tunawapenda.

2. Sio kila mtu atathamini kujitoa kwako na ataheshimu kujinyima kwako, kuna wengine Hawana shukrani.

Hata ufanyaje, bado watakulaumu na watakuumiza.

3. Kuna ambao wanapoumia wanataka uache kila kitu kwa ajili yao, Iła unapoumia wewe hawataacha chochote kwa ajili yako.

Na hawatajisikia vibaya kukuacha peke yako hata k**a wewe siku zote ulisimama nao.

4. Kumbuka watu wengi ambao sio watoaji huwa wanataka huwape kila kitu na kila wakati, usipowawekea mipaka wataendelea kutaka kutoka kwako.

Wakiona umeishiwa wanakuacha wanahamia kwa mwingine na wanakusahau. Jitahidi usijisahau!

5. Itunze Furaha na Amani yako, usiruhusu ishikiliwe na mtu mahali pengine na akuamulie wakati gani Ufurahi au wakati gani usifurahi.

Usiiweke Furaha yako kwenye “mood” ya mtu mwingine. Kuna ambao wakishajua kuwa wanaweza kukuamulia hisia zako, watakufanyia visa vya makusudi kila siku, utaishi kwa kufuata wanachotaka wao.

6. Wewe ni binadamu, sio Mungu. Hautaweza kufanya kila kitu kwa kila mtu na kwa kila wakati.

Mungu tu ndio “Omnipotent”- Muweza wa yote, wewe ni binadamu hauwezi yote.

Jifunze kusema hapana pale unapoona hauwezi bila kujisikia kuhukumiwa moyoni, kuna ambao hawatakuelewa na wengine watakulaumu Ila itakusaidia kujenga kesho yako.

7. Kuna mambo au maamuzi ukiamua kufanya kuna watu hawatakulewa na wengine hawatakubaliana na wewe.

Usisahau kuwa njia rahisi ya kujichelewesha kufanikiwa ni pale unapotaka kila mtu akuelewe na akubaliane na wewe.

Kuna aina ya vitu lazima ukubali kutofautiana.

8. Dunia haina huruma, unaweza kuwa na moyo Mwema na watu wakautumia vibaya.

Unaweza kutenda wema na ukalipwa ubaya. Yaani, maumivu yako makubwa yatatokana na wema wako mkubwa.

Yaani

Address

Songea

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vicent Ignas Mapunda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share