Abnho Clothing Store

Abnho Clothing Store Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Abnho Clothing Store, Clothing (Brand), Songea.

SIMBA ALIVYO’ESCAPE MATIBABU NA KUKIWASHA JUKWAA LA   ARUSHA ☄️☄️Mgonjwa  alivyoyakimbia matibabu kwa muda baada ya kupa...
15/10/2023

SIMBA ALIVYO’ESCAPE MATIBABU NA KUKIWASHA JUKWAA LA ARUSHA ☄️☄️

Mgonjwa alivyoyakimbia matibabu kwa muda baada ya kupata nafuu ili kuzikonga nyoyo za Wanachuga☄️☄️

What a Performance Lion 🦁!!

📸 By ☄️



Ni

M***i  Heri ya Siku ya Kuzaliwa Tajiri wa Mbegu, Allah azidi kukufungulia njia dunia iijue thamani ya Sauti 🌍
03/10/2023

M***i Heri ya Siku ya Kuzaliwa Tajiri wa Mbegu, Allah azidi kukufungulia njia dunia iijue thamani ya Sauti 🌍

Happy Birthday Big Boss  Allah azidi kuyabariki Maisha yako na akujaalie Mwisho mwema 🙏🏽Tanzania na Vijana kwa ujumla tu...
02/10/2023

Happy Birthday Big Boss Allah azidi kuyabariki Maisha yako na akujaalie Mwisho mwema 🙏🏽

Tanzania na Vijana kwa ujumla tunajivunia uwepo wapo ➡️upambanaji, kujituma na kuwekeza katika unachokiamini☄️

🔹One of the most influential Person in our continent 🇹🇿🌍

Ball Kutembea Leo    - SONGEA ⚽️ Mechi za Robo Fainali kutimia Kivumbi Leo ndani ya Viwanja vya Black Belt kuwasaka Waka...
13/09/2023

Ball Kutembea Leo - SONGEA ⚽️

Mechi za Robo Fainali kutimia Kivumbi Leo ndani ya Viwanja vya Black Belt kuwasaka Wakali wataoingia Nusu Fainali.

MTWARA MTWARAAAAA!!!Tukutane Nangwanda Sijaona mida hiii, Kutokana Na Hitilafu Ya Umeme Ilojitokeza Jana, Leo Show Inapi...
03/09/2023

MTWARA MTWARAAAAA!!!

Tukutane Nangwanda Sijaona mida hiii, Kutokana Na Hitilafu Ya Umeme Ilojitokeza Jana, Leo Show Inapigwa Hapaaa Bureeeeeeeee Bila Kiingilioo☄️☄️🙅🏽‍♂️

Lengo ni Lile Lile, Kubadili hali ya Maisha Nyumbani.
31/08/2023

Lengo ni Lile Lile, Kubadili hali ya Maisha Nyumbani.



99.7  ! WE, UMEISKIA WAPIII ? 📡📻 👂
28/08/2023

99.7 ! WE, UMEISKIA WAPIII ? 📡📻 👂

New Signing! It’s Officially Mzee Wa Kaliua  is one of our Brand Influencer  Big Up Mndewa  👊🏽
21/08/2023

New Signing! It’s Officially Mzee Wa Kaliua is one of our Brand Influencer

Big Up Mndewa 👊🏽

🚨 𝐇𝚰𝚰 𝐇𝐀𝐏𝐀 𝐏𝐑𝐎𝐌𝐎𝐒𝐇𝐄𝐍𝚰 𝐘𝐀 𝐊𝚰𝐁𝐀𝐁𝐄 (𝐌𝐀𝐎𝐊𝐎𝐓𝐎 𝐘𝐀 𝐄𝐏𝐋)👆Hii ni kwa wateja wetu wapya na wazamani.Mteja utahitajika kubashiri Mk...
15/08/2023

🚨 𝐇𝚰𝚰 𝐇𝐀𝐏𝐀 𝐏𝐑𝐎𝐌𝐎𝐒𝐇𝐄𝐍𝚰 𝐘𝐀 𝐊𝚰𝐁𝐀𝐁𝐄 (𝐌𝐀𝐎𝐊𝐎𝐓𝐎 𝐘𝐀 𝐄𝐏𝐋)👆

Hii ni kwa wateja wetu wapya na wazamani.

Mteja utahitajika kubashiri Mkeka wenye angalau mechi mmoja au zaidi ya EPL na kuweka dau la kuanzia Tsh 1000/= na zaidi

Kwa kufanya hivi utaingia moja kwa moja kwenye droo ya kuwania zawadi mbalimbali za kila siku, wiki na zawadi kuu MILIONI 20. Pia Dau la Jackpot (𝐁𝐀𝐁𝐀 𝐋𝐀𝐎, 𝐒𝐔𝐊𝐀𝐑𝚰 𝐉𝐀𝐂𝐊𝐏𝐎𝐓) ambazo zina michezo ya EPL zitaingia katika ofa hii.

Washindi mtapokea zawadi mbalimbali na Pesa zitakazowekwa kwenye akaunti yako ya utazoweza kuzitoa kupitia Mpesa, TigoPesa, Airtel Money na HaloPesa.

Droo itachezeshwa na washindi watapatikana.

𝐳𝐚𝐰𝐚𝐝𝐢:
🔘Washindi 200 wa kila siku wa TSh. 10,000 kila mmoja.
🔘Washindi 10 wa kila wiki wa TSh. 200,000 kila moja.
🔘Mshindi 1 wa TSh. 20,000,000 tarehe 20 Mei 2024.

Vigezo na masharti kuzingatiwa🔞

Which Slide is Your Fave?      Cc
13/08/2023

Which Slide is Your Fave?




Cc

Usiwe na Aibu kwenye Kuzisaka, maana ni aibu zaidi ukizikosa.   in   Mwanza  Sponsors.
12/08/2023

Usiwe na Aibu kwenye Kuzisaka, maana ni aibu zaidi ukizikosa.

in Mwanza
Sponsors.


Address

Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abnho Clothing Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share