Mie Jaz

Directions

Mie Jaz Business and stylish

09/08/2026

SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Je Una biashara ya WiFi au unapanga kuanza ?

Je, bado unatumia muda mwingi kubadilisha password kila siku, kuwafungia wateja waliomaliza muda, au kupokea malipo mmoja mmoja?

Sasa unaweza kuendesha biashara yako ya WiFi kwa mfumo wa kisasa wa Voucher Billing System.
Mfumo ni rahisi sana na wenye ufanisi

Kwanza Mteja akiona jina la WiFi yako kwenye simu yake, akibonyeza ku connect tu ataona vifurushi ulivyoviweka, kwa mfano:

Masaa 12 – Shilingi 500.

Siku nzima – Shilingi 1,000.

Atachagua kifurushi anachotaka, afanye malipo kupitia simu au kwa cash, na mfumo utamfungulia internet moja kwa moja.

Muda wake ukiisha, internet inakatika yenyewe bila wewe kubadilisha password wala kufuatilia kila mteja.

Mfumo huu unakupa usimamizi rahisi, unaokoa muda, na unafanya biashara yako iwe ya kisasa na yenye ufanisi kwa asilimia mia.

Kwa mfumo wa Automatic utahitaji WiFi Router pamoja na Access Point.

Na kwa mfumo wa Manual utahitaji WiFi Router, Access Point na Mikrotik.

Usiendelee kupoteza muda kufanya kazi ambazo mfumo unaweza kukufanyia.

Elimu tutakupa bureee....Wasiliana nasi leo kupitia 0788 185 929 na uanze kuuza WiFi kwa njia rahisi, salama na ya kisasa.”

17/07/2026

Mfumo wa Automatic pekee
Vifaa: πŸ‘‡
Access point mita 100 280,000
Mfumo: 60,000
Wire: 20,000

Access point mita 200; 360,000
Mfumo: 60,000
Wire: 20,000

Access point mita 300; 490,000
Mfumo: 60,000
Wire: 20,000

Mfumo wa Automatic & Manual
Vifaa: πŸ‘‡
Access point mita 100 280,000
Mikrotik: 350,00
Mfumo: 60,000
Wire: 20,000

Access point mita 200; 360,000
Mikrotik: 400,000
Mfumo: 60,000
Wire: 20,000

Access point mita 300; 490,000
Mikrotik: 500,000
Mfumo: 60,000
Wire: 20,000

Kwa Mawasiliano zaidi tupigie: 0788185929

13/07/2026

SOMA CAPTION HAPA CHINI KUJUA ZAIDI JUU YA HII BIASHARA YA VOUCHER BILLING SYSTEM!!πŸ‘‡

Voucher Billing system ni Mfumo unaokuwezesha kuuza WiFi yako kwa njia ya vocha yani mteja wako akiona tu jina la WiFi yako kwenye simu yake akigusa atapelekwa moja kwa moja kwenye vifurushi ambavyo utakuwa ume-set
Mfano:
Fogonetzone bando bila kikomo masaa 12= Tsh 500
Fogonetzone bando bila kikomo siku nzima= Tsh 1000 n.k

Huduma Hii itamuwezesha mteja wako kulipia direct kupitia simu yake au Cash.

Mahitaji kwenye mfumo unao muwezesha mteja kujihudumia mwenyewe yani (Automatic system) ni:

WiFi Router na
Access point.

Kwa mteja wa Automatic na Manual kwa pamoja ni:
WiFi Router
Access point na Mikrotik.

NB: Mteja wako atatumia Internet yako kulingana na masaa aliochagua mwenyewe na yakiisha inakata yenyewe hadi alipie tena.

Kwa mawasiliano zaidi piga: 0788185929

11/07/2026

Kwa maelezo wasiliana nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp au kwa kupiga simu namba: 0788185929

08/07/2026

Kwa Mawasiliano zaidi tupigie au tucheck WhatsApp kwa namba 0788185929.
Karibuni sana tuanze biashara pamoja

08/07/2026

Tupigie kwa namba Hizo hapo au tucheck WhatsApp kwa Maelezo au Msaada zadi.

07/07/2026

Kwa Maelezo zaidi Tupigie au tucheck WhatsApp kwa 0788185929
Tunapatikana Ubungo njia panda ya Chuo.

28/06/2026

Kwa wale wanaohitaji kuanza biashara ya kuuza WIFI kwa mfumo wa voucher.
Tupigie au Tucheck Whatsapp kwa namba hizi hapa πŸ‘‡
0788185929

Address

Ubungo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mie Jaz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share