Miiwx-AL

Miiwx-AL We are miiwx and we design and make adorable & fashionable dresses for little girls!

🧰Uma caixa de ferramentas obrigatória para todas as famílias, 😎a bagagem foi projetada para ser fácil de transportar‼Enc...
02/08/2022

🧰Uma caixa de ferramentas obrigatória para todas as famílias, 😎a bagagem foi projetada para ser fácil de transportar‼Encomende aqui>> 🔥Excelente caixa de ferramentas com boa qualidade e preço baixo, forte praticidade⚒️

09/03/2018

FAGIO LA MAMA

Mtunzi: Luke Sam

Contact:0717 485657

Sehemu ya pili

Ilipoishia... Maumivu makali ya kidonda alichokuwanacho mguu wa kushoto havikumfanya kutomfikilia mume wake kwa wakati huo mwisho alikata shauri na kutoka usiku huo mkubwa na kwenda kumtafuta mumewe...Endelea..

Mama Chaunde au Agatar K**a lilivyojina lake halisi alilopewa na wazazi wake,sifa moja kubwa aliyokuwanayo hapo kijijini kwao ilikuwa ni mwanamke anayependa kujituma na kujitoa kipaumbele katika shughuli za kimaendeleo kijijini hapo,hali hiyo haikuishia tu kuonekana machoni mwawatu hata katika familia yake macho mengi yalimtazama na kumsifu kuwa ni mwanamke aliyependa familia yake na kuijali.Muda uliyoyoma giza lilikwisha kuchanua weusi wake balabala!! huku mama Chaunde akijikongoja katika giza hilo nene mbali na ukimya uliokwisha tawala masikio yake sauti alizosikia ni za ndege wenye kulia usiku na vilio vya mmbwa ambao walikuwa wakilandalanda mtaani kutafuta hiki na kile,"sehemu kubwa ya kumpata ni kule bondeni kwa mama chaupele muuza gongo,nimatumaini yangu atakuwa huko....au atakuwa kwa mzee Mpoka akicheza bao lakini bao gani? hilo la usiku huu mwingi hivi!!....hapana!! lazima tu atakuwa huko huko tu kwa mama chaupele akinywa hizo pombe zake"alijisemea moyoni mama Chaunde huku akiendelea na safari yake hiyo aliyokuwa akipita kwenye njia za vichaka na mapoli kutokana na nyumba nyingi za Kijiji chao kijengwa mbali mbali,baada ya mwendo uliomchukua nusu saa alikuwa akiutazama mlango wa mama chaupele ukimya uliotawala nyumba hiyo ulimpa jibu ya kuwa nyumba hiyo tayali ilikwisha kulala muda mrefu,kwakuwa alikuwa akiifahamu nyumba hiyo vzuri aliona kwa muda huo akigonga hodi mlangoni ingemchukua muda mrefu kwa mama chaupele kusikia na kuamka hvyo aliona ni bora akagonge dilisha la chumbani kwake hivyo alizunguka upande wa pili wa nyumba na kugonga dirishani,"hee!! hee!! mama chaunde kulikoni usiku huu...ni yapi? yaliyokusibu usiku huu kiguu na njia kuja kwangu"mama chaupele aliuliza baada ya kusikia dirisha lake likigongwa huku akiitwa jina lake,hakuifikilia sauti hiyo maana alishaitambua niyanani?
"mama chaupele mguu huu wakwako"
"Haya niambie kulikoni nini? masahibu yako"alijibu mama chaupele aliyekwisha kusimama dirishani na kumsikiliza mama Chaunde aliyekuwa rafiki yake wa muda mrefu hapo kijijini kwao."mwenzang baba Chaunde hajarud nyumbani hivyo nimekuja kwako kumtazama K**a yupo huku"
"Shoga yangu ngoja nikuambie mwenzio ninasiku tano hadi hivi ninavyoongea sijauza pombe ya haina yoyote,serikali yetu ya Kijiji imepiga marufuku uuzwaji wa pombe haramu usiokuwa na viwango stahiki,hivyo marufuku kwa yeyote yule atakaye jihusisha na biashara hiyo kukiona cha mtema kuni,mimi...mimi machaupele siku tatu nimekaa kituo cha polisi na madumu yangu ya pombe nimetoka Jana kwa faini na onyo kubwa hivyo mumeo tangu asikie sekeseke langu sijamtia machoni hata unyayo wake pia sijauona"mama chaupele alimaliza kwa kusema hayo.
"Pole sana kwa madhira hayo rafiki yangu.....sasa sijui mume wangu baba chaunde tampata wapi?tena kingine"
"labda kamuangalie kwa mama muuza maana nimesikia taarifa za chini chini yeye bado anauza kisirisiri kwa kuwafungia wateja wake ndani ya chumba chake nenda huko pia unaweza ukamkuta"mama chaupele alishauri hivyo kwa rafiki yake.Wote waliagana na mama chaunde kufunga safari kwenda kwa mama muuza K**a alivyoshauriwa na mama chaupele rafiki yake wa siku nyingi toka utoto,kutoka kwa mama chaupele na nyumba ya mama muuza hazikuwa mbali sana nilimchukua mwendo wa dakika tano kufika hapo kwambali aliona nyumba ikiwaka taa hii ilimpa nguvu na kumfanya aonetayali amekwishakumpata mume wake baba Chaunde.

***** *****

"Funga mlango...funga mlango haraka....haraka na wote mkae kimya nimevisikia vishindo vya miguu vikiisogelea nyumba hii kwa upande wa nyuma wanakuja....wanakuja"ilikuwa ni sauti ya kunon'gona ya mama muuza akikimbilia ndani baada yakusikia hatua za mtu akitembea nyuma ya nyumba yake,wote waliingiwa na uwoga na kupelekea wengine waanze kutafuta sehemu za kujificha huku wengi wao wakikimbilia chini ya uvungu wakitanda huku mioyo ikiwadunda kwa hofu kubwa,"mama muuza usinikimbie ni mimi mama chaunde"mama chaunde alijitambulisha baada ya hapo mlango ulifunguliwa na mama muuza alitoka nnje lakin bado akiwa na hofu kubwa
"Hivi umekuja mwenyewe au na hao mgambo wa kamata kamata hapa kijijini"lilikuwa swali la kwanza kuuliza kwa mama chaunde huku akipepesa macho kila upande kunako giza nene "

Bado ipo
17/08/2017

Bado ipo

25/05/2017

Mpango mzima ni muda wa kutafakari sasa SyllabusmuziK now b soon

Address

Ubungo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Miiwx-AL posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share