Marashi SMZ

Marashi SMZ Ukurasa
maalum wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ

Tuna shona  Aina zote za majoho,  karibuni sana kiwandan kwetu   💯
23/10/2025

Tuna shona Aina zote za majoho, karibuni sana kiwandan kwetu
💯

15/10/2025

Kwa shilingi 180,000 tu, jipatie kaunda suit ya ubora wa hali ya juu kutoka 👔
Tunakupa muonekano wa heshima, ubora wa kudumu, na bei isiyoumiza mfuko.

09/10/2025

Kuvaa vizuri sio bahati, ni utambulisho 👔 ili kupata suts nzuri na yenye ubora tupo kwa ajili yako

✨ Elegance in every stitch. Kwa wanaume wanaojua thamani ya muonekano wao. 🕴🏽
09/10/2025

✨ Elegance in every stitch. Kwa wanaume wanaojua thamani ya muonekano wao. 🕴🏽

Leo tar8/10/25 tumepokea ugeni wa walimu wa taaluma ya amali katika skuli mbali mbali za sekondari ambao wanaendelea na ...
08/10/2025

Leo tar8/10/25 tumepokea ugeni wa walimu wa taaluma ya amali katika skuli mbali mbali za sekondari ambao wanaendelea na mafunzo ya ukufunzi wa ushoni kwa lengo la kuja kujifunza kwa kuona kazi za uzalishaji viwandani kwetu. Wameshkuru na wamefurahi kwani hawakutegemea kukuta mambo waliyoyaona na kuahidi kurudi tena kujionea na kujifunza zaidi.

Viwanda vya Idara Maalum za SMZ vyenye brand ta Marashi sasa vinaendelea na uzalishaji mkubwa wa bidhaa za nguo, ngozi pamoja na huduma za kuchapa na kudarizi kwa leongo la kuongeza uzalishaji, ajira na pato kwa serikali. Wito wetu ni kuwataka wananchi wa Zanzibar kuthamini bidhaa zinazozalishwa

Leo tarehe 18/9/25 tumepokea ujumbe kutoka Tanzania Investment Bank kwa ajili ya kuangalia fursa za kuwekeza kupitia hud...
18/09/2025

Leo tarehe 18/9/25 tumepokea ujumbe kutoka Tanzania Investment Bank kwa ajili ya kuangalia fursa za kuwekeza kupitia huduma za kibenk zikiwemo mikopo kwa makampuni ya uzalishaji, Mara tu baada ya kuona viwanda vyetu wamebaini fursa kubwa ya kutaka kusaidia kuviwezesha viwanda vipige hatua kwenye maeneo ya utaalamu, malighafi pamoja na masoko.

📸 "Moments under the open sky Nature, smiles & good times               ---Unataka nikuundie caption + hashtag zote pamo...
30/07/2025

📸 "Moments under the open sky Nature, smiles & good times






























---

Unataka nikuundie caption + hashtag zote pamoja kwa post yako moja? K**a unataka, niambie k**a ilikuwa harusi, tamasha, birthday, au show.

Mkutano wa wazalishaji wa bidhaa za ngozi katika kuelekea kuanzishwa kwa Jumuiya ya Wazalishaji wa Ngozi Zanzibar ambayo...
29/07/2025

Mkutano wa wazalishaji wa bidhaa za ngozi katika kuelekea kuanzishwa kwa Jumuiya ya Wazalishaji wa Ngozi Zanzibar ambayo itafungua fursa mbali mbali za maendeleo ya wazalishaji hao.
Akihutubia Mkurugenzi Mtendaji SSP -Ramadhan Khamis katika mkutano uliofanyika leo tarehe 29/7/2025 katika ukumbi wa viwanda hapo mtoni.
Nae Katibu wa Jumuiya ya wazalishaji wa Bidhaa za Ngozi Tanzania Ndg Timoth akielezea fursa za kuwa na jumuiya katika kukuza uzalishaji wa bidhaa hususan uzalishaji wa viatu vya shule ambao umeonekana kuwa ni fursa kubwa kwa viwanda vyetu katika kukuza pato la viwanda na nchi kwa ujumla

Viwanda vya idara maalum vya Smz i anawatakia Waislamu na Wananchi kwa ujumla Kheri Sikukuu ya Eid Al Fitr.
30/03/2025

Viwanda vya idara maalum vya Smz i anawatakia Waislamu na Wananchi kwa ujumla Kheri Sikukuu ya Eid Al Fitr.

Ramadhan KareemViwanda Vya Idara Maalumu Za Smz Inawatakia Waislaam Wote Duniani Mfungo Mwema Wa Ramadhanikareem.9083
02/03/2025

Ramadhan Kareem

Viwanda Vya Idara Maalumu Za Smz Inawatakia Waislaam Wote Duniani Mfungo Mwema Wa Ramadhanikareem.9083

Address

Zanzibar

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30

Telephone

+255658800119

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marashi SMZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Marashi SMZ:

Share