Hussein's General Traders

Hussein's General Traders We specialize in retailing and wholeselling of the latest fashion trends for women and children fabr

✨ Haadi Fashions – Karibu Rasmi Instagram! ✨Kwa zaidi ya miaka 35, tumekuwa tukileta ubora na mitindo ya kipekee kwa wan...
19/03/2025

✨ Haadi Fashions – Karibu Rasmi Instagram! ✨

Kwa zaidi ya miaka 35, tumekuwa tukileta ubora na mitindo ya kipekee kwa wanawake na watoto hapa Zanzibar! 🏝️👗👶🏾 Leo, tunafurahi kutangaza kuwa sasa tupo rasmi kwenye Instagram! 📲💛

Angalia ukurasa wetu wa Instagram kwa ofa maalum zijazo, usisahau kushiriki na marafiki na familia yako wote! 🌿👚

📍 Kiponda Street, Stone Town, Zanzibar, Tanzania
📢 Fuata ukurasa wetu ili usipitwe na ofa zetu! 🛍️

RAFIKI ZETU WA FACEBOOK!Angalia Hapa! MALI MPYA IMEINGIA! Na tumeweka ofa maalum kwa ajili yako wewe!Vitambaa vya Kitoto...
16/05/2016

RAFIKI ZETU WA FACEBOOK!
Angalia Hapa! MALI MPYA IMEINGIA! Na tumeweka ofa maalum kwa ajili yako wewe!
Vitambaa vya Kitoto, vitambaa vya mabiharusi, vitambaa vya mashati ya kiume, vitambaa vya mabuibui model 2016, vitambaa vya mabedsh*ti na vitambaa vya mapazia zinakungojea hapa kwa duka la Hussein's General Traders :)!

Bonyeza "Like" na "Share" kweneye peji yetu na utapata upunguzo ya 10% katika manunuzi yako!
Tuoneshe "Like" na "Share" uliyo bonyeza na utapata upungozo hapo hapo!
Tukowapi?
Utatukuta mtaa wa Kiponda, Stone town nyuma ya Saleh Madawa. Angalia picha tuliyo weka hapa au fuata maelekezo tuliyoshusha kwenye peji yetu :)

Seli Ya Ramadhani! 8 Mei 2016-15 Mei 2016Bonyeza "Like" na "Share" kweneye peji yetu na utapata upunguzo ya 10% katika m...
08/05/2016

Seli Ya Ramadhani! 8 Mei 2016-15 Mei 2016
Bonyeza "Like" na "Share" kweneye peji yetu na utapata upunguzo ya 10% katika manunuzi yako!
Tuoneshe "Like" na "Share" uliyo bonyeza na utapata upungozo hapo hapo!
Tukowapi?
Utatukuta mtaa wa Kiponda, Stone town nyuma ya Saleh Madawa. Angalia picha tuliyo weka hapa au fuata maelekezo tuliyoshusha kwenye peji yetu :)
Hussein's General Traders

TukoWapi? Fuata njia yeyote mbili itakayokuwa rahisi kwako wewe kutoka darajani 😊
08/05/2016

TukoWapi?
Fuata njia yeyote mbili itakayokuwa rahisi kwako wewe kutoka darajani 😊

Address

Kiponda Street
Zanzibar
3281

Opening Hours

Monday 10:00 - 17:30
Tuesday 10:00 - 17:30
Wednesday 10:00 - 17:30
Thursday 10:00 - 17:30
Friday 10:00 - 17:30
Saturday 10:00 - 17:30
Sunday 10:00 - 17:30

Telephone

0242232154

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hussein's General Traders posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share