Maskini jeurikelvin diploma.tz

Maskini jeurikelvin diploma.tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maskini jeurikelvin diploma.tz, Baby Goods/Kids Goods, Louisville, KY.

05/08/2017
02/05/2017

Usipuuzie na kupita picha hii.
Mbali na ulemavu alio nao, yeye anatangaza neno la Mungu.
K**a unaamini MUNGU ni mkuu, Basi comment kwakuandika 'MUNGU NI MKUU', K**a unaamini anaweza like picha hii na Share kuthibitisha kuwa MUNGU YUPO.

11/06/2016

UNAFAHAMU MAANA YA MSEMWA HUU?(MASKINI JEURI)?Aya karibu kwa maoni yenu na t t fahamu wenu.mtakaishia nitaendelea.,msijua ni tawajuza.your welcam.

11/06/2016

Karibu katika page yangu hii maskini wote jeuri duniani...lengo na page hii ni kuakikisha walio wengi kuujua ukweli zidi ya hali nzima ya maisha ya duniani na nini tufanye na kipi tusifanye...pamoja na kuyajua mambo muhimu ya mpasayo binadamu wa kweli na mungu wake... Leo nakuja ivi, nini unaitaji mungu wako wa kweli akufanyie apa duniani? Na je unatambua ya kua apa duniani kuna miungu na mungu? Shetani na mashetani? Pia unajua kua yopo mungu pesa na mungu imani? Jifundishe kwanza ayo kwakuyajua na kwa kuyatafakari sana...umaskini ni mtego kati ya mungu wa kweli na mungu pesa...chagua jambo moja kati ya haya ma2. Ila kila ufanyapo uamuzi tazama nini kusudio la uamuzi wako. Mim nasema ivi duniani apa hayupo mtu maskini wala mtu tajiri...wewe je?

Mimi sina jipya kwa ilo...je wewe ndugu yangu unalo apo ua?
08/25/2016

Mimi sina jipya kwa ilo...je wewe ndugu yangu unalo apo ua?

05/09/2016

KUA K**A MIMI, SIKU MOJA INATHAMANI YA UHAI WA MAISHA YAKO KWA SIKU ZOTE,AMINI IVI...KILA LEO NI=NA KILA JANA...UTOFAUTI TU NI MABADILIKO YA MATUKIO YA JANA NA LEO TU.ILA ULICHO KIFANYA JANA NI SAWA NA KILICHO PITA SIKU ILIO PITA KABLA YA JANA NA KESHO KUFIKA NA KUPITA.TAMBUA ILO MASKINI KUA JEURI ILI MWENYE PESA ASIKUZOE.

04/21/2016
03/09/2016

Address

Louisville, KY
MAJOR: 402XX, MINOR: 400XX, 401XX

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maskini jeurikelvin diploma.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share