01/11/2026
CONGRATULATIONS TO OUR 2027 SCHOLARSHIP WINNERS!
A warm welcome to the Annacollections Fashion Academy(AFA) 2027 family!
Unknown Teclah | Fashion Designer | Tanzania🇹🇿 zammy_attire Riames
Tumeshuhudia energy, ubunifu, passion na kujituma kwenu katika safari hii. Tunaamini kuwa hii ni mwanzo wa safari kubwa zaidi ya mafanikio.
Our hope is to see you grow, learn, collaborate and become some of the most inspiring fashion brands in Tanzania and beyond Tunataka kuona mkitumia ujuzi mtakaoupata kugeuza vipaji vyenu kuwa biashara endelevu na zenye ushindani.
❤️ THE GOOD NEWS!
All four winners will receive their scholarships through the Anna Collections Foundation!
Kwa ajili ya kupata maelekezo na utaratibu wa kuanza masomo, tafadhali wasiliana kupitia DM ya Anna Peter Lunguya.
Congratulations once again! Your journey in fashion has just begin.